Rais
Magufuli amesema anashukuru hafla ya Jubilei ya Miaka 50 ya ndoa ya
Rais mstaafu Benjamin Mkapa kuleta muujiza wa kukutana na kupeana mkono
na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa
Kauli
hiyo aliitoa jana katika hotuba yake Baada ya kumalizika kwa misa
takatifu ya maadhimisho ya Juibilei hiyo iliyofanyika katika kanisa la
mtakatifu Petro Oysterbay, Dar es Salaam
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment