Powered by Blogger.

BASATA Yamfungulia Nay wa Mitego

Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na kulia mwenye miwani ni Meneja wake, Maneno John.

BONYEZA HAPA KUPATA HABARI KAMILI Nay wa Mitego amefunguliwa baada ya kutimiza masharti yote aliyopewa na pia kuomba msamaha kuwa hata rudia tena kufanya makosa aliyofanya.....
Una Maoni gani? 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment