Justine Bieber (2)KAMA desturi yake staa wa Hollywood, Justine Bieber kujiachia na warembo kwenye sehemu za starehe huku akipiga picha tata. Hivi kaibuni staa huyo aamekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuachia picha kadhaa akiwa anajirusha na mrimbwende ambaye pia ni nyota wa Hollywood, ‘modo’ Sofia Richie.

BONYEZA HAPA KUPATA HABARI KAMILI

Justine Bieber (6)Richa ya kuulizwa maa kibao kuhusu tetesi za kwamba anatoka naye kimapenzi, Bieber amekuwa akikana kutokuwa na uhusinao wa kimapenzi na Sofia huku akisisitiza kuwa ni rafiki yake wa kawaida.
Justine Bieber (7)Baada ya kuachia kwenye mtandao wa Instagram picha ambazo Bieber amepiga na Sofia, mashabiki walimjia juu Bieber ‘wakimshambulia’ kuwa hawaendani na Sofia. Baada ya kuona comment hizo Bieber alichukia na kuahidi kuweka akaunti yake ya instagram iwe ya sii (peivate).
Justine Bieber (8)“Nitaiweka akaunti yangu ya Instagram iwe ya siri ili kama hamtaach chuki zenu,”. Alisandika Bieber, “Kama nyie ni mashabiki wangu wa ukweli hamuwezi kufanya mambo kama hayo.

BONYEZA HAPA KUPATA HABARI KAMILI

Justine Bieber (5)Saa chache baadaye shabiki mmoja ali-comment ambaye jina lake lilionesha kuwa mpenzi wa Bieber wa zamani Selena Gomez.

BONYEZA HAPA KUPATA HABARI KAMILI

Justine Bieber (4)“Njoo uchukue,” “Kama huwezi kujizuia hasira zako usiwe unaweka picha ulizopiga na mpenzi wako, ziweke ziwe maalum kwa ajili yenu wawili pekee,” aliandika shabiki huyo. “Usiwe mjinga kwa mashabiki zako. Wanakupenda.”

BONYEZA HAPA KUPATA HABARI KAMILI


Justine Bieber (3)Baadaye shabiki huyo (Selena) aliweka picha za matukio mbalimbali zikimuonesha Justine Bieber na masahabiki wake. “Maisha yangu yote. Wewe ndo muhimu zaidi” aliandika. “Asante kwa kunifanya nifanye kile ninachokipenda kila siku.”